Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kuondoka Kwa cancelo sioni kama Ni tatizo ,sababu alikuwa anataka kuwa mkubwa kuzid club ,hauwezi kuwa unataka kuanza kucheza wakati kuna walio Bora Zaidi ....PEP YA MAN CITY[emoji20] [emoji20]Mashabiki hawana kelele kama kocha ana pata matokeo hata kama kuna makosa ana yafanya [emoji1614][emoji460] Ebu mie nifunguke sasa Pep ya Manchester City game 5 za mwisho haija shinda game hata moja [emoji457][emoji457] hata game zilizo pita alishinda lakini quality si ile tena tunayo ijua🪓🪓 Kakosea wapi au ni matokeo tu ? [emoji441]au ndiyo hakuna marefu yasiyo na ncha ? [emoji185][emoji2788][emoji2788] Ki taalam Pep kafanya makosa makubwa wengi hawwoni kama ni makosa kwa sababu eti ni "mtalaam" alimuondoa Cancelo aliye kuwa key player wa magoli japo ni beki na pia alisaidia sana kiungo cha kukaba akiingia ndani kidogo kwa kuibia !! Kama haitoshi akamuachia Mahrez simple tu , huyu Mwarabu mwafrica alijua ju fanya high pressing na pia alijua goli liko wapi kazi ambayo Glealish haja fanya hata robo sukari, Twende kwa Gundogan ntaalam wa pass ling ball na short balls ana kupiga muhimu Pep Kipara kamuachia easy tu eti Rodri ana tosha , Rodri ni mzuri kwa pass za kawaida siyo "mpenyezo" nyie mnanita asisst [emoji102][emoji102] Man City ime poromoka hakuna anaye igusa kisa Pep kafanikiwa ku dominate EPL misimu 7 Ndoo 5 nani kama yeye , [emoji1609][emoji1609] , Mie peke yangu Steve Chitalu ni jitia sadaka kwa kandia hii 🪓🪓 kama "Mbwai iwe Mbwai" Adios Amigos , tukutane saa 1[emoji1609][emoji169][emoji172]
Cancelo alichomesha Goli pale Anfield Kwa kumuacha Salah kirahisi kabisa ,tukadondosha point 3 ,toka pale pep alianza kuwa anamweka bench atulize Akili ,cancelo alikuwa akipanda kushambulia hawezi Kurudi ,hivyo basi nyuma tukawa tunazidiwa tukipigwa counter attack ...pep alibadili mfumo ......
Stone akaanza kuingia Kati kucheza na rodri double pivot ,hapo ndipo cancelo alipopoteana maana yeye alishazoea kupanda kushambulia ....
Ake ---dias --akanji
Stone --rodri
Huu ndio mfumo uliompoteza cancelo city ,Kwa huo mfumo Ake au akanji hawezi kuwa anapanda mbele akashindwa Kurudi nyuma tukawa Salama ...lazima tupigwe ....
Kuhusu gundo ,umri na mkataba aliokuwa anataka Ni kikwazo ,.... mahrez aliamua kuondoka maana Aliona hapati muda WA kucheza Sana .....falsafa ya pep Ni kuwa kama mchezaji anataka kuondoka Hakuna WA kumzuia ,maana yake Hana furaha ,so Yupo free kuondoka ....
Tumetoka kuwin mataji makubwa matatu ,team lazima iyumbe tu na ndio mpira ulivo ,haya Mapito Ni ya kawaida kabisa kwenye football ....
Saizi tunawachezaji wazuri tu ,Ni swala la kurekebisha kidogo na umakini kuwepo ,lakin bado tuko vzuri ....