Na sioni wakutuzuiaHili kombe inabidi tuchukue, litakua kombe la 5 kubeba ndani ya mwaka huu pekee, tunafunga 2023 kibabe.
Ni vile tu hatujawa aggressive kushambulia, hatujatengeneza nafasi za kutosha.
Urawa wanapaki basi hawana mbinu zingine tushindwe wenyewe tu.
Shots 13-0
Possession 77%-23%
NI app inaitwa score808Unaanglia channel gani