The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bila striker tunastruggle kufunga aisee ..

Pale Kati pengo la Haaland linaonekana ...
 
Hii false 9 inafanya tumiliki mpira Sana ila movement za hatari kwenda mbele Hakuna ....
 
Ni vile tu hatujawa aggressive kushambulia, hatujatengeneza nafasi za kutosha.

Urawa wanapaki basi hawana mbinu zingine tushindwe wenyewe tu.

Shots 13-0
Possession 77%-23%
 
Ni vile tu hatujawa aggressive kushambulia, hatujatengeneza nafasi za kutosha.

Urawa wanapaki basi hawana mbinu zingine tushindwe wenyewe tu.

Shots 13-0
Possession 77%-23%

Unaanglia channel gani
 
Picha la kutisha..
IMG-20231219-WA0132.jpg
 
Back
Top Bottom