The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Timu yako inacheza Europa ,jipange ...

Mo Salah hayupo ,next game mjiandae kichapo ,maana bounmonth sio WA mchezo
Unadhani timu yetu inategemea Salah ili ishinde?
Sisi kila mtu anashinda
Vikombe vyote tunabeba,na mwakani UEFA yetu,Salah anabeba.

nyie KDB akipoteana kidogo,basi jini lenu pacha wa manara linabaki kama Baleke😂.
 
Unadhani timu yetu inategemea Salah ili ishinde?
Sisi kila mtu anashinda
Vikombe vyote tunabeba,na mwakani UEFA yetu,Salah anabeba.

nyie KDB akipoteana kidogo,basi jini lenu pacha wa manara linabaki kama Baleke[emoji23].
Sio km konkoniii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee city muda wetu bado wa kukaa pale juu, ukifka tyuuh utaonaa tunakaa pale kileleni had siku tunachukua mwaliii.
 
Hapa inabidi tuamue wenyewe either tuweke record ya kuchukua EPL Mara 4 mfululizo Jambo ambalo halijawahi kutokea toka Dunia inaumbwa au tuchukue treble Mara ya Pili mfululizo ,Jambo ambalo Dunia nzima itasimama Kwa muda WA masaa 12 Bila kuzunguka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani asipokuwepo Pain Killer
Ndio hakuna jukwaa

Kweli Mama Cita ni timu ya watoto wa Shule akina KD.
Wapo hostel saa hizi [emoji23]
Davet
Game moja ,tunakuwa point 2 mbele ya Liverpool...

Liverpool tunaenda kumkanda pale pale Anfield kwake ,tunakaaa juu kileleni Kwa point 1 baaada ya hapo Ni vilio na kusaga meno Kwa mashabiki WA Liverpool maana Gali litakuja kuzimikia may 2024 kombe limetua Etihad [emoji23]
 
Naona kitabu cha kusadikika ulikipenda sana

Back
Top Bottom