Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mpatie wapi?Tushashona suti kushelekea next CL trophy [emoji23]
Jukwaa la mabosi hili ,ulishiingia mliman city kununua bidhaa ukakuta zile kelele za kariakoo....Jukwaa limepooza kama uji wa mgonjwa
Asipokuwepo mchambuzi wenu Dawa za maumivu,ndo basi tena.
Timu ya watoto wa shuleJukwaa la mabosi hili ,ulishiingia mliman city kununua bidhaa ukakuta zile kelele za kariakoo....
Timu yako inacheza Europa ,jipange ...Mpatie wapi?
Na Hilo kombe mwakani ni la kwetu
[emoji23][emoji23][emoji23]maombi yako hayawezi sikilizwa ,Leo Newcastle anapigika Goli 3+ ....Wanangu wa New Castle leo wanachinja mtu pale StJames' park[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Goli 2 tu wanangu zinatosha.
Unadhani timu yetu inategemea Salah ili ishinde?Timu yako inacheza Europa ,jipange ...
Mo Salah hayupo ,next game mjiandae kichapo ,maana bounmonth sio WA mchezo
New Castle wanetu hawatuangushi[emoji23][emoji23][emoji23]maombi yako hayawezi sikilizwa ,Leo Newcastle anapigika Goli 3+ ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utashangazwaa hiyo baadae.Wanangu wa New Castle leo wanachinja mtu pale StJames' park[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Goli 2 tu wanangu zinatosha.
Uwanja mtakatifu StJames[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utashangazwaa hiyo baadae.
Wee subiri.
Sio km konkoniii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani timu yetu inategemea Salah ili ishinde?
Sisi kila mtu anashinda
Vikombe vyote tunabeba,na mwakani UEFA yetu,Salah anabeba.
nyie KDB akipoteana kidogo,basi jini lenu pacha wa manara linabaki kama Baleke[emoji23].
Utaona hiyo baadae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwanja mtakatifu StJames
Ni kuchapa tu hawa Mama Cita
Mabingwa tukishakalia Siti hatuhamjSio km konkoniii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee city muda wetu bado wa kukaa pale juu, ukifka tyuuh utaonaa tunakaa pale kileleni had siku tunachukua mwaliii.
Hii comments naitunza [emoji23][emoji23][emoji23]Newcastle 2
Mama cita 1
Game moja ,tunakuwa point 2 mbele ya Liverpool...Yaani asipokuwepo Pain Killer
Ndio hakuna jukwaa
Kweli Mama Cita ni timu ya watoto wa Shule akina KD.
Wapo hostel saa hizi [emoji23]
Davet
Endelea kuotaGame moja ,tunakuwa point 2 mbele ya Liverpool...
Liverpool tunaenda kumkanda pale pale Anfield kwake ,tunakaaa juu kileleni Kwa point 1 baaada ya hapo Ni vilio na kusaga meno Kwa mashabiki WA Liverpool maana Gali litakuja kuzimikia may 2024 kombe limetua Etihad [emoji23]
Hapa inabidi tuamue wenyewe either tuweke record ya kuchukua EPL Mara 4 mfululizo Jambo ambalo halijawahi kutokea toka Dunia inaumbwa au tuchukue treble Mara ya Pili mfululizo ,Jambo ambalo Dunia nzima itasimama Kwa muda WA masaa 12 Bila kuzunguka [emoji23][emoji23][emoji23]