Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
[emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Mm nilibid niangalie kwnz AFCON ceremony kdg nipoze presha.
Shabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
Kdb na takatakaShabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
Pep kasema Haaland Kurudi hadi mwezi WA Pili Yuko na injury...Bado Halaand
KDB akiwa kwenye form Ni bonge la Attacking midifilder..Shabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
KDB ni Genius huyo kamwe asifananishwe na vitu vya ajabu.Shabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
Kumbe uliona mkuu ,yaani alinikera Sana ,Fala Yule [emoji23]Refa ali delay kupuliza kipenga cha offside mpk katuletea injury ya kijinga kabisa ya ederson.