The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

KDB akiwa kwenye form Ni bonge la Attacking midifilder..

Akishika mpira Katikati harafu mbele kuna space ,basi goli lazima lipatikane ...

Kushoot nje ya box Ni kawaida yake ,kdb toka utotoni alikuwa anafanya mazoezi ya kupiga mashoot kwenye ukuta WA nyumba yao toka asubuhi mpaka jion unaambiwa ...
Kamba hapo utotoni
 
Wakikaa vibaya na msimu huu ndoo izi tunaweza kuzirudisha zote kabatini.

EPL ndo uhakika kbs hapo iyo hata iweje lzm tubebe[emoji41]
20240109_234302.jpg
 
Mpinzani Ni Liverpool tu ,this time Klopp atakuwa kajifunza maana misimu yote tunamnyanganya tonge mdomoni ,Kwa point 1 tu ...[emoji1787]
Msimu huu kuku hatutahangaishana nao mpaka mechi ya mwisho.
 
Mpinzani Ni Liverpool tu ,this time Klopp atakuwa kajifunza maana misimu yote tunamnyanganya tonge mdomoni ,Kwa point 1 tu ...[emoji1787]
[emoji23]Hawa liver hata saiv hawalambi kitu.

Hiki kikosi chao wakiumia watu muhm tu heka heka hawa soon tunawashusha hapo.
 
Bado sijaona wa kuzuia tusinyanyue izo kwapa tano hapo kwa mara nyingine tena, badoo.
Weupe kbs wengi.. Yan kama Uefa lbd tufanye ufala wenyw lkn njia ya final kwetu ni zaid ya nyeupe.. Tena wachezaj wetu wote wanarud mzigoni saiv tutakanda watu kinoma
 
Back
Top Bottom