The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kamba hapo utotoni
 
Livakuku nao wanawaza kabisa wanabeba ndoo 🤣🤣🤣🤣🤣 kuna vituko duniani
 
Wakikaa vibaya na msimu huu ndoo izi tunaweza kuzirudisha zote kabatini.

EPL ndo uhakika kbs hapo iyo hata iweje lzm tubebe[emoji41]
 
Mpinzani Ni Liverpool tu ,this time Klopp atakuwa kajifunza maana misimu yote tunamnyanganya tonge mdomoni ,Kwa point 1 tu ...[emoji1787]
Msimu huu kuku hatutahangaishana nao mpaka mechi ya mwisho.
 
Mpinzani Ni Liverpool tu ,this time Klopp atakuwa kajifunza maana misimu yote tunamnyanganya tonge mdomoni ,Kwa point 1 tu ...[emoji1787]
[emoji23]Hawa liver hata saiv hawalambi kitu.

Hiki kikosi chao wakiumia watu muhm tu heka heka hawa soon tunawashusha hapo.
 
Bado sijaona wa kuzuia tusinyanyue izo kwapa tano hapo kwa mara nyingine tena, badoo.
Weupe kbs wengi.. Yan kama Uefa lbd tufanye ufala wenyw lkn njia ya final kwetu ni zaid ya nyeupe.. Tena wachezaj wetu wote wanarud mzigoni saiv tutakanda watu kinoma
 
Kyle walker, ruben dias, john stones, kdb, bernado silva and erling halaand have been named in FIFA FIFPRO's World men 11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…