The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Siku imewadia... Hizi nyumbugurusi nina uchungu nazo sana.... Bao 3 mpaka 4 itakua package nzuri sana leo.
 
Kama uko kipesa zaidi ya ushabiki, mpe mkeka wako nyumbu. Ukimfunga unapoteza pesa kidogo ila akikufunga unapata pesa nyingi. Win-win.
Namfata city...nikimpiga nyumbu napata pesa kidogo + furaha telee.
 
Mim team inayojiita shetani haina mamlaka mbele yangu ,pigaaa mbwa hizi mpaka zirudi kuzimu ....

Come on city ...
IMG-20240303-WA0132.jpg
 
Back
Top Bottom