Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.into semi final in fa cup ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na muotea au namuweza wew OT unapachukuliajeMan U huwa anamuotea Sana Liverpool [emoji23]
Hawa Mamacita wanaenda kutolewa na The Blauzi kwenye Semi final.Yani nyie MAMMBWA tumewapa ubingwa wa bure wa FA...mbwa nynyi. [emoji867][emoji867][emoji867]
Chelsea huyu amefuzu Kwa kubabatiza ,red card ya leister city imewaokoa ....Hawa Mamacita wanaenda kutolewa na The Blauzi kwenye Semi final.
Fainali itakua ni Chelsea vs Man Utd.
Kunywa maji mengi ya baridi Mzee[emoji23]Yani nyie MAMMBWA tumewapa ubingwa wa bure wa FA...mbwa nynyi. [emoji867][emoji867][emoji867]
Sasa Mzee baba kesho utafanya Nin kwenye uwanjan WA nyumbani ,sikumbuki Mara ya mwisho tumepoteza Lin Etihad [emoji23]Bado kidoooogo tu. Kesho siyo mbali
acha wababe wa ligi tuje tujichukulie zetu points 3 muhimu 😂Sasa Mzee baba kesho utafanya Nin kwenye uwanjan WA nyumbani ,sikumbuki Mara ya mwisho tumepoteza Lin Etihad [emoji23]
Kuchukua point tatu ,itakugharimu Sana [emoji23][emoji23][emoji23]acha wababe wa ligi tuje tujichukulie zetu points 3 muhimu [emoji23]