Jana nimeangalia game ya Madrid na osasuna ...
Real Madrid Kwa sasa mchezaji wanaemtegemea mkali Ni Jude ,japo Kwa sasa ana injury ,....
CB wao wanaowategemea n Tchoumeni na Rudiger, Tchoumeni Ni kama kiraka tu hata sio Namba yake ,last game Rudiger alimuweka mfukoni Haaland pale Bernabeu ,hii Ni kutokana tulikuwa tunataka kucheza mpira WA counter attack kama. Tulivokuwa tumetoka kumpiga buyern ,home game tuligeuza tactics,more possession wakala NNE ....
Vin ,camavinga ,Rodrigo ,wote Hawa ana kadi za njano , wakijichanganya tu wakapata njano nyingine basi Etihad hawawezi kucheza ...
Madrid saizi wanacheza mpira WA kuvizia ,wako compact nyuma ,ila winger za vin na Rodrigo ndio engine yao ,kiufupi hawana MTU WA kupita Kati kama ilivokuwa benzema ,mipira ya cross Jude anaweka ,kiufupi Jude ndio kama false nine wao ,au Yule bwana mdogo jesule( kama sijakosea Jina)....
Carlo Bora aje tupishane ,akija na mpira WA kuvizia basi ameumia ..Carlo saizi ana woga na Sisi naamin atataka kucheza mpira WA counter attack ....pep is cooking