euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyoTukishakaa pale juu mda kama huu huwa imeisha hiyo labda msimu huu yatokee maajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyoTukishakaa pale juu mda kama huu huwa imeisha hiyo labda msimu huu yatokee maajabu.
Cha muhimu hao wengine ni kukanda 4+ ( tuna tatizo la ku concede magoli hovyohovyo).Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyo
Cha muhimu hao wengine ni kukanda 4+ ( tuna tatizo la ku concede magoli hovyohovyo).Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyo
Hapa Kwa hesabu za haraka namuona Spurs akiwa kizingiti .....Our final fixtures.
Brighton (A)
Nottingham forest (A)
Wolves (H)
Fulham (A)
Tottenham (A)
West ham (H)
Hizi game ni kushinda tena kwa goli nyingi.
Hapo spurs anaweza tupa shida tukarudi kwenye habari za GD provided false hopers watashinda game zao zote which is highly improbable.
1150 charge Sisi hajali ,tunaenda kuchukua EPL Mara 4 ,,,,na kombe tutakalopewa ni la dhahabu ....115 charges bring it on mshinde sasa Farmers league
Kuchukua Uefa mara mbili unapaswa uwe na kikosi kama cha madrid kile kilichoshinda mara tatu...Hivi wakuu Kati ya kuchukua uefa Mara mbili mfululizo au kuchukua EPL x4 Bora kipi .....Mimi Naona Bora kuchukua EPL x4 hii haijawahi kutokea na Ni heshima itakayokuwa imewekwa EPL toka Dunia inaanza[emoji23]
Dah UEFA ina utamu wake plus tunakua the first english club kufanya hivyo.Hivi wakuu Kati ya kuchukua uefa Mara mbili mfululizo au kuchukua EPL x4 Bora kipi .....Mimi Naona Bora kuchukua EPL x4 hii haijawahi kutokea na Ni heshima itakayokuwa imewekwa EPL toka Dunia inaanza[emoji23]
Sisi tunazungumzia Mara x4 mfululizo ....Kuchukua Uefa mara mbili unapaswa uwe na kikosi kama cha madrid kile kilichoshinda mara tatu...
Ila kwa mara nne sishangai kama sisi Man U tulichukua bila 115 charges mara tatu mfululizo
Bro Law does not operate retrospectivelySisi tunazungumzia Mara x4 mfululizo ....
Kuhusu 115 charge hata kama zingekuwa 115000 charges Sisi haituhusu maana Ni utapeli tu ambao Hauna ushahidi ....
Nyie man utd nani hajui kama furgson ...
- alikuwa anatumia pesa nyingi kuzidi club zote uingereza kipindi kile maana FFP imeanza 2009 ikaja kuwa implemented 2012 nyie mshachukua makombe yenu kihuni ...Bila hata FFP
- nan hajui kuwa furgson alikuwa nalipa referee kuipendelea united maana ndio team ilikuwa na pesa kuzidi zote ,kuhonga na kununua mchezaji yeyote anayemtaka Kwa pesa yeyote Bila hata FFP kuwepo ...
- mmechukua makombe Bila var ,no goal line technology,no social media to expose robbed team ..
Kiufupi mmechukua makombe gizani sio kama sasa Sheria zinabana Kila Kona ...
Msijekujifanya united labda mko salama Sana ,tukirudi kufanya uchunguzi wenu WA matumizi nyuma huko ,Ni kufuru tu [emoji23],makombe yenu yote mmebeba Bila FFp what if is investigated ...
..
Ndio utulie sasa ,115 charge Ni email za kijinga zilizotumwa PL na city haters mpaka sasa vitabu vyetu vya mahesabu vimebalance ...kama unaushahidi WA hizo charge twende mahakamani kuprove tuwe punishedBro Law does not operate retrospectively
😂😂 walete ushahidi sio stori za vijiweni.Ndio utulie sasa ,115 charge Ni email za kijinga zilizotumwa PL na city haters mpaka sasa vitabu vyetu vya mahesabu vimebalance ...kama unaushahidi WA hizo charge twende mahakamani kuprove tuwe punished
Ngojea nimalizie mhuriNdio utulie sasa ,115 charge Ni email za kijinga zilizotumwa PL na city haters mpaka sasa vitabu vyetu vya mahesabu vimebalance ...kama unaushahidi WA hizo charge twende mahakamani kuprove tuwe punished