The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tukishakaa pale juu mda kama huu huwa imeisha hiyo labda msimu huu yatokee maajabu.
Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyo
 
Our final fixtures.

Brighton (A)
Nottingham forest (A)
Wolves (H)
Fulham (A)
Tottenham (A)
West ham (H)

Hizi game ni kushinda tena kwa goli nyingi.
Hapo spurs anaweza tupa shida tukarudi kwenye habari za GD provided false hopers watashinda game zao zote which is highly improbable.
 
Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyo
Cha muhimu hao wengine ni kukanda 4+ ( tuna tatizo la ku concede magoli hovyohovyo).

Spurs akileta za kuleta at least GD yetu inakua ina afya japo najua kwa liva na arsenal bado kuna timu zitatupa favour tu.
 
Hakuna maajabu hapo nikubeba tu point 2 ni nyingi hapo tunaomba tu spurs tumkande vizuri maana ndo fixture Ngumu hyo
Cha muhimu hao wengine ni kukanda 4+ ( tuna tatizo la ku concede magoli hovyohovyo).

Spurs akileta za kuleta at least GD yetu inakua ina afya japo najua kwa liva na arsenal bado kuna timu zitatupa favour tu
 
Paul merson: "Man City are not losing the league from here, the title is 100% gone"
 
Merse kashatupa kombe letu.

Ladies and Gentlemen, we've got a brand new farmers league in town, not bundesliga anymore, nah nah nah.
 
,hapa nawaz game ya Madrid tu....Kwa game zilizobaki za EPL hata kina doku na Nunez wanazimaliza .....UEFA ndio Babu kubwaaa
 
Hapa Kwa hesabu za haraka namuona Spurs akiwa kizingiti .....

Treble again kama vile inakuja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi wakuu Kati ya kuchukua uefa Mara mbili mfululizo au kuchukua EPL x4 Bora kipi .....Mimi Naona Bora kuchukua EPL x4 hii haijawahi kutokea na Ni heshima itakayokuwa imewekwa EPL toka Dunia inaanza[emoji23]
 
Kuchukua Uefa mara mbili unapaswa uwe na kikosi kama cha madrid kile kilichoshinda mara tatu...

Ila kwa mara nne sishangai kama sisi Man U tulichukua bila 115 charges mara tatu mfululizo
 
Dah UEFA ina utamu wake plus tunakua the first english club kufanya hivyo.

By the way, gods don't choose, we take.

It's 4th epl title in a row.
A 2nd CL in a row
A 2nd FA in a row
A 2nd treble in a row

Goddamn it.
 
Hebu watuhukumu hizo charges zao 115 watutoe tu, ligi yao tunaiondolea ladha sasa make msimu unaanza wa motoo lakini mioyoni watu wanajua at the end of the road the english sky is always blue.
 
David James: Luton display , a perfect rehearsal for real madrid.
 
Kuchukua Uefa mara mbili unapaswa uwe na kikosi kama cha madrid kile kilichoshinda mara tatu...

Ila kwa mara nne sishangai kama sisi Man U tulichukua bila 115 charges mara tatu mfululizo
Sisi tunazungumzia Mara x4 mfululizo ....

Kuhusu 115 charge hata kama zingekuwa 115000 charges Sisi haituhusu maana Ni utapeli tu ambao Hauna ushahidi ....

Nyie man utd nani hajui kama furgson ...

- alikuwa anatumia pesa nyingi kuzidi club zote uingereza kipindi kile maana FFP imeanza 2009 ikaja kuwa implemented 2012 nyie mshachukua makombe yenu kihuni ...Bila hata FFP

- nan hajui kuwa furgson alikuwa nalipa referee kuipendelea united maana ndio team ilikuwa na pesa kuzidi zote ,kuhonga na kununua mchezaji yeyote anayemtaka Kwa pesa yeyote Bila hata FFP kuwepo ...

- mmechukua makombe Bila var ,no goal line technology,no social media to expose robbed team ..

Kiufupi mmechukua makombe gizani sio kama sasa Sheria zinabana Kila Kona ...

Msijekujifanya united labda mko salama Sana ,tukirudi kufanya uchunguzi wenu WA matumizi nyuma huko ,Ni kufuru tu [emoji23],makombe yenu yote mmebeba Bila FFp what if is investigated ...

..
 
Bro Law does not operate retrospectively
 
Bro Law does not operate retrospectively
Ndio utulie sasa ,115 charge Ni email za kijinga zilizotumwa PL na city haters mpaka sasa vitabu vyetu vya mahesabu vimebalance ...kama unaushahidi WA hizo charge twende mahakamani kuprove tuwe punished
 
😂😂 walete ushahidi sio stori za vijiweni.
 
Ndio utulie sasa ,115 charge Ni email za kijinga zilizotumwa PL na city haters mpaka sasa vitabu vyetu vya mahesabu vimebalance ...kama unaushahidi WA hizo charge twende mahakamani kuprove tuwe punished
Ngojea nimalizie mhuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…