The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Line up ,Walker ndani ,Foden na kdb ndani ...

Wasiwasi wangu Ni kuwa sio wakabaji Sana rodri atakuwa na Kazi kubwa Sana Leo View attachment 2966697
Hiki kikosi akina nani watakaba ipasavyo hapo kati?, upande wa Jack utakuwa uchochoro Gvardiol hatakuwa na msaada toshelevu wa kusaidia kukaba.

Kitakachowaweka salama City ni hofu ya Madrid kufunguka wasijepishana na pass mpenyezo za KDB kwenda kwa Jini lenu.
 
Kovacic Yupo vzuri Sana kukaba katikati na kutuliza temper ya mpira ,naona pep kaanza na kdb na foden pamoja ,Hawa wote Ni attacking midifilder minded ,off ball sio wazuri kabisa....hapo Kati Leo kutakuwa na uchochoro ,tuombe rodri awe vzuri Zaidi ...
 
Huwa mnashangilia Madrid kipindi cha UEFA tu baada ya hapo hatuwaonagi kabisa , [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia wiki hii njoo Nyumbani kwangu tutazame Mechi ya La liga Namba 225 wew unazani kila mtu ni mamruki kama nyiny mashabiki wa Arsenal mmekimba timu lenu Bovu
 
Ndo maana nikasema moment ya kushambuliwa akina nani watakaba?, ila nilichokiona hicho kikosi cha Madrid backline yao mzuri ni Rudger pekee, hivyo timu italazimishwa kukaa nyuma , kupishana ni ngumu, lakini ikitokea wakacheza kama walivyocheza game ya kwanza first half, mnaweza shindwa kufuzu nyumbani kwenu.
 
Stones nje, hata namimi sasa napata hofu na hii line up,nlitegemea stones ataanza sababu yeye ndiye ana play role ya extra DM kwa perfection kubwa kwaiyo angemsaidia rodri kuzima harakati za counter attacks.

Kwa kikosi hiki maana yake akanji au walker, mmoja ndo atafanya hiyo kazi na wote hawaifanyi vizuri kama anavyofanya stones.
 
Etihad is a sacred stadium, no matter what Madrid anakufa.
 
Manuel Akanji na Ruben dias wakiwa booked leo hawatacheza semi final kama tukivuka.
 
Nacho anaenda kuicost Madrid pakubwa. Hafai hata kuwa kwenye benchi la Madrid. Sema ndio hivyo alaba yuko injury
 
Kwa upande wangu naona game itakua ngumu zaidi kama madrid wakiamua kukaa nyuma sababu tutakua tumesambaa mno na beki zetu haziba speed ukiacha walker.

Tukicheza kwa kupishana hapo tutawamaliza, kdb na foden lazma watamu unlock haaland.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…