K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Asipojituma apigwe tuArsenal Leo kayakanyaga ,uwanja mgumu sana ule [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipojituma apigwe tuArsenal Leo kayakanyaga ,uwanja mgumu sana ule [emoji1787]
Hiki kikosi akina nani watakaba ipasavyo hapo kati?, upande wa Jack utakuwa uchochoro Gvardiol hatakuwa na msaada toshelevu wa kusaidia kukaba.Line up ,Walker ndani ,Foden na kdb ndani ...
Wasiwasi wangu Ni kuwa sio wakabaji Sana rodri atakuwa na Kazi kubwa Sana Leo View attachment 2966697
Ni mjukuu wa Elizabeth mwenzenuArsenal kafikaje humu
Kovacic Yupo vzuri Sana kukaba katikati na kutuliza temper ya mpira ,naona pep kaanza na kdb na foden pamoja ,Hawa wote Ni attacking midifilder minded ,off ball sio wazuri kabisa....hapo Kati Leo kutakuwa na uchochoro ,tuombe rodri awe vzuri Zaidi ...Hiki kikosi akina nani watakaba ipasavyo hapo kati?, upande wa Jack utakuwa uchochoro Gvardiol hatakuwa na msaada toshelevu wa kusaidia kukaba.
Kitakachowaweka salama City ni hofu ya Madrid kufunguka wasijepishana na pass mpenyezo za KDB kwenda kwa Jini lenu.
Huwa mnashangilia Madrid kipindi cha UEFA tu baada ya hapo hatuwaonagi kabisa , [emoji23][emoji23][emoji23]Piga ayooooo mauza disel
Nani kakwambia wiki hii njoo Nyumbani kwangu tutazame Mechi ya La liga Namba 225 wew unazani kila mtu ni mamruki kama nyiny mashabiki wa Arsenal mmekimba timu lenu BovuHuwa mnashangilia Madrid kipindi cha UEFA tu baada ya hapo hatuwaonagi kabisa , [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wana UEFA moja ao ni wavulanaWanaume tunaingia ...View attachment 2966743
Ndo maana nikasema moment ya kushambuliwa akina nani watakaba?, ila nilichokiona hicho kikosi cha Madrid backline yao mzuri ni Rudger pekee, hivyo timu italazimishwa kukaa nyuma , kupishana ni ngumu, lakini ikitokea wakacheza kama walivyocheza game ya kwanza first half, mnaweza shindwa kufuzu nyumbani kwenu.Kovacic Yupo vzuri Sana kukaba katikati na kutuliza temper ya mpira ,naona pep kaanza na kdb na foden pamoja ,Hawa wote Ni attacking midifilder minded ,off ball sio wazuri kabisa....hapo Kati Leo kutakuwa na uchochoro ,tuombe rodri awe vzuri Zaidi ...
Wakuu ni site gan naweza ku stream hii game online
Kwa upande wangu naona game itakua ngumu zaidi kama madrid wakiamua kukaa nyuma sababu tutakua tumesambaa mno na beki zetu haziba speed ukiacha walker.Ndo maana nikasema moment ya kushambuliwa akina nani watakaba?, ila nilichokiona hicho kikosi cha Madrid backline yao mzuri ni Rudger pekee, hivyo timu italazimishwa kukaa nyuma , kupishana ni ngumu, lakini ikitokea wakacheza kama walivyocheza game ya kwanza first half, mnaweza shindwa kufuzu nyumbani kwenu.
Nacho leo anatuzawadia tuta.Nacho anaenda kuicost Madrid pakubwa. Hafai hata kuwa kwenye benchi la Madrid. Sema ndio hivyo alaba yuko injury