The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mzee hapa Tanzania Hakuna anayeshabikia la liga ,zunguka weekend nzima uone kama Kuna MTU mwenye muda WA kuonesha Mallorca vs real Madrid game kwenye kibanda umiza .......au anayezungumzia Madrid tofauti na kipindi cha UEFA tu ...

Mim nakushangaa tu
emoji23.png
we jamaa sijui WA wapi ,baada ya game Leo UEFA sijui kama tutakuona Tena jukwaani maana huna utakalokuwa unazungumzia .

Huu ukuta wetu Ni ujinga mtupu ...
City ni kakikundi kawahuni tu uyo Jack anadeka uwanjani kama Refa ni Baba ake
 
Hiki kikosi akina nani watakaba ipasavyo hapo kati?, upande wa Jack utakuwa uchochoro Gvardiol hatakuwa na msaada toshelevu wa kusaidia kukaba.
Hili nililiona mapema, upande wa kushoto kuna njia nyeupe, hao vijana wenu mliopigwa mamilioni zaidi ya 200 ya dollar hawana msaada, yaani Jack na mwenzie Gvardiol.

Bora kipindi cha pili ili kupunguza aibu aingie Doku na Ake upande huo.
 
Gvardiol nlisema toka mwanzo sio mzuri kwenye ukabaji, ule upande angecheza ake at least.
 
Hili nililiona mapema, upande wa kushoto kuna njia nyeupe, hao vijana wenu mliopigwa mamilioni zaidi ya 200 ya dollar hawana msaada, yaani Jack na mwenzie Gvardiol.

Bora kipindi cha pili ili kupunguza aibu aingie Doku na Ake upande huo.
Goli la kijinga kabisa tumefungwa ,mpaka nikajiuliza Hawa beki zetu Leo wamekula sijui Nin....

Sijawahi ona Goli la kijinga kama hili [emoji848]
 
Jamani Foden kwann asifanye Yale mambo tuyapendayo the citizens?

Naumia mnooo.
 
So far hatujacheza vibaya, tunahitaji kutumbukiza mpira wavuni tu game tumeikamata vizuri kabisa na nafasi tunatengeza.

Second half naona tutapata kitu.
 
Goli la kijinga kabisa tumefungwa ,mpaka nikajiuliza Hawa beki zetu Leo wamekula sijui Nin....

Sijawahi ona Goli la kijinga kama hili [emoji848]
Kazi mnayo, ikipigwa counter attack kule mbele njia nyeupe, Jack badala atanue uwanja, muda mwingi anacheza kama namba 9, leo mmeyatimba, mtapigwa kama Mandonga.
 
Back
Top Bottom