The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

unakumbuka ile comment yangu kuwa Madrid hawapendi mazoea mazoea na kombe lao
Mazoea gani? Kwa mpira upi? Hizo penalties za ndondokelaa,? Huko kupaki bus muda mwingi ndo hamtaki mazoea woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanayoijua Madrid wanafahamu hanaga mpira wakusema wakukutisha ila utawashtukia wapo final na wamebeba kombe lao

work smarter not harder
 
Mvuta cigar ni mmoja tu, Don Carlo[emoji41]
Screenshot_20240418_005810_WhatsApp.jpg
 
Mazoea gani? Kwa mpira upi? Hizo penalties za ndondokelaa,? Huko kupaki bus muda mwingi ndo hamtaki mazoea woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uefa huwa ni tactical not innovation
 
Wanayoijua Madrid wanafahamu hanaga mpira wakusema wakukutisha ila utawashtukia wapo final na wamebeba kombe lao

work smarter not harder
Wapiiii bhanaa weweee? Mwaka jana mbona hawakua huko final? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Walishapoteana hapa leo, kuwin penalties mmekuja na mbwembwee nyingii na venye hamna kitu.
 
Back
Top Bottom