Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Hii mechi na ya madrid ni mechi moja yenye part 1 na 2.
Pattern ni ileile, mpira mwingi, pasi za kutosha ila output finyu huku wapinzani wanakua hatari zaidi kwenye game.
Naona another penalty shootout na ikifika huko we are doomed.