Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Let's hope tunamaliza kazi.Hii mechi na ya madrid ni mechi moja yenye part 1 na 2.
Pattern ni ileile, mpira mwingi, pasi za kutosha ila output finyu huku wapinzani wanakua hatari zaidi kwenye game.
Naona another penalty shootout na ikifika huko we are doomed.
Tulia mpiga ramli, zamu yako inafika usiwe na haraka.Mnabahati hao wendawazimu wameshindwa kumaliza chance zao
mnakutana na sisi final tunawamega
[emoji23] nyie wenyewe man utd si mnamjua nafasi kama hizo Mainoo hakuachiTulia mpiga ramli, zamu yako inafika usiwe na haraka.
Sasa nyie tunajipigia tu, shinda kesho kwanza halafu ndio uje tuongee final.[emoji23] nyie wenyewe man utd si mnamjua nafasi kama hizo Mainoo hakuachi
kwanza man utd na Madrid ni DNA moja tunaenda endeleza walipo achia wenzetu huko Final
lets wait and seeSasa nyie tunajipigia tu, shinda kesho kwanza halafu ndio uje tuongee final.