Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sema Jana doku alikuwa anampika bissaka ....
Doku >Vin ...
Doku >Vin ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una ugonjwa WA Akili ......Timu kubwa Ni moja tu MANCHESTER CITY ogopa matapeli ....Nimefurahi sana Kipara kufungwa na Mwacity wake maana mlitudhulumu Chelsea SC penati halali kabisa ya FA semi final iliyotokana na faulo ya Pamer.
FFP 115 Rudini kwenye timu zenu za awali "Man Utd SC, Liverpool SC, Arsenal SC na Chelsea SC" [emoji1787][emoji28]
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Dakika za 90 doku alikuwa akishika mpira ,mashabiki wote WA man U kwenye kibanda umiza wanatoka jasho p*mbuni na makwapani ,kiufupi aliwapika kisawasawa ...
Kwisha habari yenu.
Nyie wahuni mafisadi aka 115 FC bila hongo na kubebwa hamna lolote.
Na msimu ujao makombe mtayasikia redioni tu.
Sasa bro na wewe arsenal unakuja kwenye uzi wa man city anayekuzidi kila aina ya makombe kusema makombe mtayasikia redioni!?
Bora hata mimi shabiki wa Chelsea niongee[emoji23][emoji23] naamini Chelsea atabeba ubingwa kabla yenu pamoja na kuwa bora misimu mitatu mfululizo
😂😂😂Mikwara ya hapa na pale ni muhimu sana kwenye hili game 😄😄
Habari za pep kuondoka msimu ujao zipo wazi ,mkataba ndio unaisha .......Duuu hii habari ya pep mbona inashtua