The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Week nzima wachezaji wamelewa baada ya kushinda EPL na kuweka historia kubwa Sana Dunian....
Huu mwaka tumeshinda super cup ,club world cup ,pl .....

Tunashinda makombe makubwa tu yenye maana ,muda WA kuanza kulilia fa tulishaachia timu ndogo kama man U ,...

Kitu pekee tunachoweza kulia tukipotea Sisi Ni CL na PL .....

Ndio maana mpaka Jana ,wachezaji Hakuna aliyesikitika ..

Pep aliwambia "guys ,just play football, if you win it's okay ,if you don't win it's okay let go .."

Saizi hatutumii nguvu kubwa ,maboss kama Sisi tuanzee kukamia kombe la fa 🤔
 
Wewe una ugonjwa WA Akili ......Timu kubwa Ni moja tu MANCHESTER CITY ogopa matapeli ....

United Ni timu ndogo Sana ndio maana wanashangilia fa kama CL ,mentality Ni ndogo mnooo ....

Man city Ni dude kubwa ,halielezeki
 
Dakika za 90 doku alikuwa akishika mpira ,mashabiki wote WA man U kwenye kibanda umiza wanatoka jasho p*mbuni na makwapani ,kiufupi aliwapika kisawasawa ...
 

Attachments

  • 20240526_113027.jpg
    298.2 KB · Views: 7
Dakika za 90 doku alikuwa akishika mpira ,mashabiki wote WA man U kwenye kibanda umiza wanatoka jasho p*mbuni na makwapani ,kiufupi aliwapika kisawasawa ...

Hayo ni mengineyo. Kilichohitajika ni kombe hayo mengine ni promo tu[emoji23][emoji23][emoji23] ila Man u waliwachezea mpira wa kiuni kweli
 
Kwisha habari yenu.

Nyie wahuni mafisadi aka 115 FC bila hongo na kubebwa hamna lolote.

Na msimu ujao makombe mtayasikia redioni tu.

Sasa bro na wewe arsenal unakuja kwenye uzi wa man city anayekuzidi kila aina ya makombe kusema makombe mtayasikia redioni!?

Bora hata mimi shabiki wa Chelsea niongee[emoji23][emoji23] naamini Chelsea atabeba ubingwa kabla yenu pamoja na kuwa bora misimu mitatu mfululizo
 

Mikwara ya hapa na pale ni muhimu sana kwenye hili game 😄😄
 
Yani kuna hii thread eti ndo mabingwa mchangiaji ni mmoja😁😁

Yani nyie msiombe mpoteane kama United hata huu uzi utafutwa kwa kukosa uchangiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…