Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Timu kubwa Ni moja tuYani kuna hii thread eti ndo mabingwa mchangiaji ni mmoja😁😁
Yani nyie msiombe mpoteane kama United hata huu uzi utafutwa kwa kukosa uchangiaji.
Mnatutisha na kinyago ambacho tumechonga wenyewe 😂😂😂Hatimaye Chelsea SC "The Blues"
Rudini kwenye timu zenu za awali "Man Utd SC, Chelsea SC, Arsenal SC na Liverpool SC" Wana wane 😏View attachment 3001958
Sema mwanangu WA Chelsea mmepoteana Sana ,timu yenu haizungumzwi Tena , tweeter kote Hakuna ,huku jf ndio kabisa 😂Rudi timu yako ya awali we Shabiki maandazi, Man Utd SC, Chelsea SC, Liverpool SC na Arsenal SC wanakupokea kwa moyo mmoja...😆
Lazama mchanganyikiwe kudadeki 😂Nasisitizia zingatia nilivyokushauri kuwa rudi kwenye timu zako za awali, haiwezekani utusaliti Arse8 SC, Mwantesa Utd SC, Liverkuku na The Blues ilihali ulikuwa nasi tangu ujitambue kiakili 😁
Kwahiyo tusipochangia uzi unafutwa?Yani kuna hii thread eti ndo mabingwa mchangiaji ni mmoja😁😁
Yani nyie msiombe mpoteane kama United hata huu uzi utafutwa kwa kukosa uchangiaji.
Walishakusikia legend, na sasa kazi tunayo mkuu😭Hehehe, najua mashabiki wengi wa Arsenal wana wasi wasi na hawa the rich boys si unajua madogo wamepania kuwapokonya nafasi ya nne. Man City wanachotakiwa kufanya sasa hivi ni kuleta kocha mwingine mwenye uzoefu wa kufundisha superstars.
Barcelona wakitulia hapa wamepata kocha ...Here we go with Barcelona SC. View attachment 3002766
Mikwara ya hapa na pale ni muhimu sana kwenye hili game [emoji1][emoji1]