Kwa vikosi walivyonavyo city na spurs angekuwa navyo wenger angeua!
Half time MANC 2 Everton 1
Lukaku bana..
Huyu ananiudhi sana
Moyes ana miaka mitatu ya kujenga timu so hana pressure hata kidogo, Wao wamchukue tu maana wamesajili kwa gharama kubwa lakini mambo hayaendi uzuri
FT city 3 - 1 eveton thanks much mkuu BAK na Yaya Toure