The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

nice free kick for toure yaya now city 3 wigan nil..

Dk 76 City 3 - 0 wigan
 
now jovetic scored the second goal and made it 4 nil.

dk 84 city 4 - 0 wigan
 
Full Time: City 5 - 0 Wigan Dzeko, Jovetic, Yaya, Navas and Jovetic
 
Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hosipitaliinii leo tunawapa polee ti li li tii ti li li tii!
 
......kuna kipindi Ab-Titchaz baada ya kuihama Chelsea alikuwa anashabikia timu hii 

Na bado hapajaharibika kitu kamanda. Naona mumeniandama mpaka nije humu....lol.
Subirini nimalizane na hii misiba iliosababishwa na Alshabab afu tutanguruma.

Afu mbona mnapenda kuleta kelele ndani ya nyumba za watu nyie...khaaa!:doh:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

.......hahahahah....!
Haya pole kamanda hehehhe
 
Back
Top Bottom