The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wapuuzi hawa .. walimuuza Kolo Toure ona sasa. (Kule Anfield ana'star' kwenye defence si mchezo ..)

kaka hata leo hii ukimchukua chamackh na kumuhakikishia namba atajituma mbaya kuonesha kuaminiwa na jamaa alikuwa anakaza sana maana sasa hivi richards hapangwi ambaye angekomaa pale kati kwani zabaleta kishaanza kuchoka maana umri sio mchezo..
 
kaka hata leo hii ukimchukua chamackh na kumuhakikishia namba atajituma mbaya kuonesha kuaminiwa na jamaa alikuwa anakaza sana maana sasa hivi richards hapangwi ambaye angekomaa pale kati kwani zabaleta kishaanza kuchoka maana umri sio mchezo..
Mkuu, kweli kabisa. Richards kwa kweli wanammaliza. Leo hata kwenye squad hakuwepo ..!!
 
Sio Kompany tuu, City wabovu kwenye defence yao, kasoro kwa Zabaleta tu.
Huyo Kompany mwenyewe huwa akikutana na team za Europe huwa anageuka sungusungu!

Zabaleta ni mzuri sana kwenye kushambulia na kufunga lakini kwenye kuzuia hana lolote.Defence ya City bila Kompany na yule dogo Nastatic wengine wote magarasa,bora wangemuuza Lescott wangembakisha Kolo Toure nimeona kule Liverpool yuko kwenye form sana.Hichi kipigo huenda wakaingia sokoni kununua beki kabla dirisha halijafungwa
 
full time cardif cty 3 v 2 man cty!frazer campbell was man of the match!!!
 
Ndet

Dah mtamkumbuka Mancini, wanafiki na mapundits wa UK wanasema tatizo sio golikipa wa England, kazi kweli kweli tuone itakuwaje baada ya kutumia £90 million.
Prof hajatumia hata pence moja. Je akitumia si tutakuwa Invincible tena ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee We Wacha tu.
 
Group D:
Bayern Munich,
CSKA Moscow,
Manchester City,
Viktoria Plzen

go go go city
 
1175119_10153197887945455_1063771944_n.jpg
 
CHAMPIONS LEAGUE: Dates for City's UEFA Champions League Group D fixtures have been announced:

Matchday One - Tuesday 17 September
Viktoria Plzen v City

Matchday Two - Wednesday 2 October
City v Bayern Munich

Matchday Three - Wednesday 23 October
CSKA Moscow v City

Matchday Four - Tuesday 5 November
City v CSKA Moscow

Matchday Five - Wednesday 27 November
City v Viktoria Plzen

Matchday Six - Tuesday 10 December
Bayern Munich v City

Any early predictions on the final order of our group?


 
thanks much negredo and yaya for made my week end to end smoothly...

City 2 - 0 Hull city
 
Mtamkumbuka mancini ... ... ... nawatakia ushindi leo.
 
Back
Top Bottom