The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kilichopo kwa sasa ni kupambana tusitoke nje ya 24, tupate At least point 4 ndani ya mechi 2 zilizobaki
 
Mkuu kumbe unatembeza spana na huku, hawa mbwa wanatakiwa watupwe chini huko, kipara bila pesa hana tofauti na robertinho
 
Mkuu kumbe unatembeza spana na huku, hawa mbwa wanatakiwa watupwe chini huko, kipara bila pesa hana tofauti na robertinho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huku ni mara chache sana, inaweza pita mwaka mzima sijatembelea hili jukwaa, kuingia humu naona ni kumpa tu airtime Herzogg huyu jamaa inatakiwa tumuache ajiongeleshe humu peke yake na kujijibu mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Twende kwa mashika magongo ya Londoni tukatembeze spanner mkuu.
 
115 charges fc ubwa nyie

Visima vya mafuta kuhonga marefa na FA vimeanza kukauka uarabuni

Mnapigwa Leo jinga sana

115 charges fc 1-4 mashetan

Mafisadi ya mpira nyie
 
Tumeshinda mechi 1 tu ndani ya michezo 6 ya PL lakini bado Arsenal wanaotucheka wanatuacha point 3 tu.

Hapa ndo utaona vituko haviwezi kuisha duniani.
 
Liverpool nae anajikanyagakanyaga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…