The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na bado mbuzi nyie, Mourinho amesema atakula sahani moja na nyinyi kwenye yale mashtaka yenu 150 mpaka ahakikishe mmeshuka daraja.
Wakati timu pinzani wanafanya mazoezi nyie michezaji yenu kina Doku inagombania dressing table na wake zao ijipake lipshine [emoji105] View attachment 3174874
Aisee nimecheka sana
 
Hii ndiyo hali yetu kwa sasa.
Screenshot_20241212-100259_1.jpg
 
Jana sikufanikiwa kuangalia game yote, ndio nimemaliza kuangalia replays.

Gundogan na walker, hawa wazee inabidi watupishe kwakweli, very poor perfomance hiyo jana.
Mtu kama Gvardiol, japo ni natural CB lakini unamuona kabisa ni mzuri kushambulia ila defensively ni urojo urojo urojo.

Ederson confidence hakuna tena.

Pale katikati bila KDB hakuna creativity yeyote.

Hiki kikosi kinahitaji kufumuliwa upya.

January Walker atafutiwe pa kwenda atupishe, tupate young fullback mwingine ambaye ni versatile kama Lewis, Gundogan ale benchi tupate solid DM wa kueleweka (Kova sio wa kumuamini)

Gvardiol acheze LB, pale kati awaachie Akanji, Stones na Ake.

January pekee tunahitaji sajili si chini ya 2 za watu ambao wako tayari kwa kazi.
 
Jumapili tuna nyumbu.

Kama Akanji, Ake na Stones hawapo fiti, kwenye Center backline most likely itakua

Gvardiol_Simpson pusey_Dias_Walker

Kwa hii backline sitashangaa hata nyumbu wakitulamba goli 3
 
Back
Top Bottom