Muanze kutafuta mrithi wa Pelegrini mapema
usiogope sana mkuu kwanza ndio HT subiri tuje na come back la hatari..
habari yako kwanza vipi leo mtatoka kweli..[/QUOT
Angalia come back isiwe kama ya Chelsea jana
usiogope sana mkuu kwanza ndio HT subiri tuje na come back la hatari..
habari yako kwanza vipi leo mtatoka kweli..
Angalia come back isiwe kama ya Chelsea jana
ManCity ni kibonde wa Sunderland