The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

hizi pass sio ishu sana cha msingi ni kuchomoa kwanza hili goli.. come on city..
 
HT sun 1 - 0 city wanaenda mapumziko wakiwa mbele kwa goli moja..
 
mineno ya shombo kwa city "kama premier league ingekuwa inaangaliwa kwa mechi za ugenini basi city ingekuwa ya 15 mpaka muda huu.." khaaa...
 
penati ya ili hii tunanyimwa duu kweli kama umebaniwa unabaniwa tu..
 
Back
Top Bottom