The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

KDB kaanza kurudi kwenye ubora wake, game ya brentford alikiwasha sana.

Huyu asipate tu majeruhi.
 
Kuna chalii anaitwa Claudio Echeverri anakuja dirisha hili ila tulimsajili toka mwaka jana.

Ni playmaker mzuri japo ni kwaajili ya long-term project, ana miaka 18.
huyu chalii nampata alirudishwa river plate akuekue kwanza ni zaidi ya Lamine Yamal
 
Huu ubingwa wenu wanangu hawa wengine kazi hawaiwezi kabisaa..
 
Back
Top Bottom