Hongereni wazee wa comeback
naona city kama wanaanza kuchanganyikiwa dizaini...
sun 1 - 0 city
Pole jirani
Nditichia
Kama utakumbuka vizuri msimu uliopita nilikueleza kuhusu Mancini sio coach kwa Man city na sasa ndio utakavyoipenda city zaidi kwani wamepata mtu anayejuwa mpira wa UK
Hongera kwa ushindi mnono
Dah .. Spuds wanaadhibiwa bila huruma