The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jana Dias alitolewa sababu alikua hajisikii vizuri.

Hii sasa ina make sense, nlifikiri alitolewa kwa sababu za kimbinu.
 
Hawa wachezaji ambao hawawezi kucheza mechi 4 mfululizo bila kurudi garage wanatu cost sana.

Stones, Ake, Kova, Dias nae kaanza.
 
Ikitokea bahati nzuri mkapigwa game ya mwisho na kutolewa UCL itakuwa poa sana.

Mtatuachia uwanja wa UCL sisi tupambane na nyie mtaongeza nguvu EPL na huenda mkatufungia wasumbufu kama kina Newcastle na Chelsea, huku Arsenal na Liverpool zikiendelea kupambania nafasi 2 za juu.
 
Dirisha linaenda kufungwa, still hatujapata damu changa pale kwenye midfield.

Tutapigwa comeback za kutosha msimu huu.
 
Huko UCL na arsenal mnategemea kuchukua ndugu yangu? Kwa wachezaji kina sterling na Kai? 🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kitu ambayo Pep amefanya na atakuja kujutia maisha yake yote ni kubeba Uefa halafu akaongeza mkataba na City.
Baada tu ya kuwapatia Uefa hawa nyumbu watoto ilitakiwa asepe zake akatafute changamoto kwenye ligi nyingine, angeenda hata Uarabuni huko kuchukua mafao yake kuliko kudhalilika namna hii.
 
Arsenal fans hamkati tamaa tuu😂
 
Tuko tunajenga kikosi, tabu iko palepale haondoki mtu.
 
Sasahivi tupo tunafukuzia Andrea Cambiasso na Douglas Luiz.

Hili dirisha ni vurugu tupu.
 
Sawa, sisi tunarudi EPL kuja kukutoa nafasi ya pili, usijali kuhusu hilo.
Usije mpaka huku juu nafasi ya pili. Wewe ishia 5 au, ukipanda sana, 4. Piga hao kina livakuku, Tottenham, nyumbu na chelkenge na wasumbufu wengine, ila huku juu usifike.

Hayo ndiyo maombi yangu kwako na hizo pia ndizo baraka zangu kwako
 
Walker kajiunga rasmi na AC Milan kwa mkopo mpaka mwishon mwa msimu huu.
Good luck Kyle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…