Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko UCL na arsenal mnategemea kuchukua ndugu yangu? Kwa wachezaji kina sterling na Kai? 🤣🤣Ikitokea bahati nzuri mkapigwa game ya mwisho na kutolewa UCL itakuwa poa sana.
Mtatuachia uwanja wa UCL sisi tupambane na nyie mtaongeza nguvu EPL na huenda mkatufungia wasumbufu kama kina Newcastle na Chelsea, huku Arsenal na Liverpool zikiendelea kupambania nafasi 2 za juu.
Nyie tokeni mtupishe tuwaonyesheHuko UCL na arsenal mnategemea kuchukua ndugu yangu? Kwa wachezaji kina sterling na Kai? 🤣🤣
Sawa, sisi tunarudi EPL kuja kukutoa nafasi ya pili, usijali kuhusu hilo.Nyie tokeni mtupishe tuwaonyeshe
Arsenal fans hamkati tamaa tuu😂Ikitokea bahati nzuri mkapigwa game ya mwisho na kutolewa UCL itakuwa poa sana.
Mtatuachia uwanja wa UCL sisi tupambane na nyie mtaongeza nguvu EPL na huenda mkatufungia wasumbufu kama kina Newcastle na Chelsea, huku Arsenal na Liverpool zikiendelea kupambania nafasi 2 za juu.
Tuko tunajenga kikosi, tabu iko palepale haondoki mtu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kitu ambayo Pep amefanya na atakuja kujutia maisha yake yote ni kubeba Uefa halafu akaongeza mkataba na City.
Baada tu ya kuwapatia Uefa hawa nyumbu watoto ilitakiwa asepe zake akatafute changamoto kwenye ligi nyingine, angeenda hata Uarabuni huko kuchukua mafao yake kuliko kudhalilika namna hii.
Usije mpaka huku juu nafasi ya pili. Wewe ishia 5 au, ukipanda sana, 4. Piga hao kina livakuku, Tottenham, nyumbu na chelkenge na wasumbufu wengine, ila huku juu usifike.Sawa, sisi tunarudi EPL kuja kukutoa nafasi ya pili, usijali kuhusu hilo.