The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nyie nao pamoja na kumnunua Omar mwana Mangushi kutoka Tanga ila bado mnafungwa na mtoto hata hajabalehe Nwaneri.
 
1000018346.jpg
 
Pep alinde heshma ndogo iliyobakia kwa kukubali kuachia ngazi, asisubiri kufukuzwa.
 
Tumepigipa mpaka mashabiki tukawa tunasema 'basi, basi, mwachieni huyo, inatosha'.
 
Back
Top Bottom