The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haaland equalizes with a header from Savinho's cross! Arsenal 1-1 Man City

 
Kutokana na mishe mishe za hapa mjini, basi unajikuta automatically Kuna mambo unayasahau kama yapo.

So kukumbushana sio vibaya.

Ni hivi:-

 
Rodri ana injury ya ACL ambayo itamfanya akae nje msimu mzima.

Then kajumuisha kwenye kikosi cha UEFA!
Hii maana yake nini?

Kuna uwezekano akarejea kabla ya msimu kuisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…