The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Knock ya Gonzalez inaonekana haikuwa serious, leo alikuwepo training.

Mwingine aliyekuwepo ni Ake ambae ametoka injury pia.
 
IMG-20250211-WA0001.jpg
 
Madrid pale nyuma saivi wanamtegemea Asencio.

Mabeki wao veterans hawapo, hii ni advantage kubwa sana ambayo inabidi tuitumie.
 
Predicted Line up.

Savinho................Haaland.............Foden

Bernado.........Kova................KDB

Gvardiol.........Dias..........Stones........ Akanji

Ederson
 
In case kama Nico Gonzalez atakuwa fiti kuanza, pep anaweza weka double pivot ya Kova-Nico, itatupa strong presence na solidity kwenye midfield.
 
In case kama Nico Gonzalez atakuwa fiti kuanza, pep anaweza weka double pivot ya Kova-Nico, itatupa strong presence na solidity kwenye midfield.
Kwa safu yenu hiyo ya kiungo ambayo mkabaji halisi ni mmoja tu, kazi mnayo kupambana na counter attack za kibabe kutoka kwa wanaume wa shoka🦍.
 
Kwa safu yenu hiyo ya kiungo ambayo mkabaji halisi ni mmoja tu, kazi mnayo kupambana na counter attack za kibabe kutoka kwa wanaume wa shoka🦍.
Sasa usiangalie upande mmoja,vipi kuhusu safu ya ulinzi ya real madrid kupambana na city?
 
Mda wa lawama.
 
Attachments

  • Screenshot_20250211_215500_All Football.jpg
    Screenshot_20250211_215500_All Football.jpg
    158.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom