The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Knock ya Gonzalez inaonekana haikuwa serious, leo alikuwepo training.

Mwingine aliyekuwepo ni Ake ambae ametoka injury pia.
 
Tutacheza na Plymouth Argyle kwenye FA, wababe wa Liverfools.
 
Madrid pale nyuma saivi wanamtegemea Asencio.

Mabeki wao veterans hawapo, hii ni advantage kubwa sana ambayo inabidi tuitumie.
 
Naona nunes hakuwepo jana kwenye training.

Means Akanji anaweza kuanza kama right back.
 
Predicted Line up.

Savinho................Haaland.............Foden

Bernado.........Kova................KDB

Gvardiol.........Dias..........Stones........ Akanji

Ederson
 
In case kama Nico Gonzalez atakuwa fiti kuanza, pep anaweza weka double pivot ya Kova-Nico, itatupa strong presence na solidity kwenye midfield.
 
In case kama Nico Gonzalez atakuwa fiti kuanza, pep anaweza weka double pivot ya Kova-Nico, itatupa strong presence na solidity kwenye midfield.
Kwa safu yenu hiyo ya kiungo ambayo mkabaji halisi ni mmoja tu, kazi mnayo kupambana na counter attack za kibabe kutoka kwa wanaume wa shoka🦍.
 
Kwa safu yenu hiyo ya kiungo ambayo mkabaji halisi ni mmoja tu, kazi mnayo kupambana na counter attack za kibabe kutoka kwa wanaume wa shoka🦍.
Sasa usiangalie upande mmoja,vipi kuhusu safu ya ulinzi ya real madrid kupambana na city?
 
Mda wa lawama.
 
Attachments

  • Screenshot_20250211_215500_All Football.jpg
    158.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…