Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele umeletewa Marmoush, katikati kaongezwa Gonzalez, nyuma kaongezwa khusanov.Kesho mnaaga mashindano saa ngapi?
City vs Real madrid inataka kuwa classic fixture sasa.Bila sisi Man City UEFA hainogi
halafu why misimu mfululizo UEFA inatokea M.City vs R.Madrid
Wasipocheza nasisi hawajiskii ama
Mid fielders wetu tegemezi wote ni 30+, hii inatupa shida sababu wanakuwa hawawezi kuendana na mchakamchaka wa damu changa.Mimi naona City hawajapoteana sana kama watu wanavyosema, ninachoona City wana tabia ya kukubali pressure kirahisi kama timu yangu Nyumbu united, kujiamini kupo chini sana hasa wakiongoza goli au magoli au pressure ya aina yyte ile kama vile kushambuliwa na kukaliwa rohoni. Misimu iliyopita Man City hata umkalie rohoni atakuwa na utulivu wa Hali yuu na kurecover haraka.
Sasa basi watu wengi hawajui kuwa sifa hii ndiyo humpa Real Madrid ushindi kwasababu wale jamaa wanaweza wasicheze vizuri kabisa lakini wanakufunga kwasababu wanajua kuhandle ile presha na vichwani mwao wanajua tu hili litapita hivyo hata ukiwafunga unaona sura zao zilivyo Wala hawapaniki kabisa na wanacheza vile vile kama hujawafunga, Sasa hivyo man city ndo inatakiwa iwe hivyo.