Madrid anahitaji draw tu kwaiyo hatakuwa na haraka na mpira, watakaa nyuma au kupiga mid block wanasikilizia.
City kwa hii line up unaona approach yetu ni kwenda kucontol mchezo na kupunguza unnecessary aggression.
Hapa unahisi kabisa game inaenda kurudi kwenye pattern ileile ya pasi nyingi vs counter attack na mara nyingi game za namna hii zinaisha 1-1, 1-0, 0-0, 2-0 n.k