mbili ndo zinaenda..wakuu naomba kuuliza hivi kwenye kundi moja team ngapi zinasonga mbele, mbili au moja? mana hapa nilipo kila mtu asema lake.
mbili ndo zinaenda..
asante mkuu.. man cty washajihakikishia kumbe.
hiki kikosi cha city sio cha ushindi kabisa.
kwenye ligi ipi ndo ipo nafasi tajwa hapo juu? umelala au?Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Usidandie pipe kwa mbele..wewe Man City umeanza kuijua lini?kwenye ligi ipi ndo ipo nafasi tajwa hapo juu? umelala au?