aisee kompany kauza timu duu..
Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Kijiji gani hicho? mi nimezaliwa KKoo na kukulia Magomeni. Sasa wewe mbwiga ulieijua Man City baada ya kununuliwa na warabu na kujua kupitia tv ya kijiji ndo mshamba halisi, labda unajizungumzia wewe menyewe/Hujui unachoongea kaa kimya..lini man city imewahi kuwa ya 8-12? Danganya wajinga wenzio huko kijijini kwenu...toka timu imenunuliwa na sheikh mansoor haijawahi kushika nafasi hizo ..labda unamaanisha man utd
Kijiji gani hicho? mi nimezaliwa KKoo na kukulia Magomeni. Sasa wewe mbwiga ulieijua Man City baada ya kununuliwa na warabu na kujua kupitia tv ya kijiji ndo mshamba halisi, labda unajizungumzia wewe menyewe/
Ndio staili yako ya kutafuta mabwana online? naona umenitunuku ghafla from nowhere, hebu njoo kwa PM bishost/Kumbe umezaliwa kariakoo ndo maana punguwani..blah blah nyingi na ujanja wa msikitini.. unazaliwa kariakoo unakulia magomeni plus jina lako duuh pole aisee
city tunaikaribisha liverpool etihad leo..
kila la kheri city..