The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.

Hujui unachoongea kaa kimya..lini man city imewahi kuwa ya 8-12? Danganya wajinga wenzio huko kijijini kwenu...toka timu imenunuliwa na sheikh mansoor haijawahi kushika nafasi hizo ..labda unamaanisha man utd
 
Kijiji gani hicho? mi nimezaliwa KKoo na kukulia Magomeni. Sasa wewe mbwiga ulieijua Man City baada ya kununuliwa na warabu na kujua kupitia tv ya kijiji ndo mshamba halisi, labda unajizungumzia wewe menyewe/
 
Baba Gaude = Abduhalim

Kazi kweli kweli khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kijiji gani hicho? mi nimezaliwa KKoo na kukulia Magomeni. Sasa wewe mbwiga ulieijua Man City baada ya kununuliwa na warabu na kujua kupitia tv ya kijiji ndo mshamba halisi, labda unajizungumzia wewe menyewe/

Kumbe umezaliwa kariakoo ndo maana punguwani..blah blah nyingi na ujanja wa msikitini.. unazaliwa kariakoo unakulia magomeni plus jina lako duuh pole aisee
 
Ndio staili yako ya kutafuta mabwana online? naona umenitunuku ghafla from nowhere, hebu njoo kwa PM bishost/
 
Back
Top Bottom