Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndo wenye uchumi bwana, wakikohoa kidogo, tunaanza kulia na sumatra, mara ccm mara oooooh. Mafuta hayo yanawatia kiburi ile mbaya. Marekani mwenyewe anaiba ile mbaya lakini hayaishi. Kuhusu formation hata sijui muundo wake uko vipi, wanasajiri kwa sifa kemkem. Nafikiria itakuwa 4 - 1 - 5 yaani kule mbele ni kama nyuki.
Man City wana mercenaries kuliko French Foreign Legion lol....
Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan mpira anaupenda hobi yake na hayupo sana kibiashara kama roman abramovich.Wakubwa siyo mimi tu bali hata Fargie na Ancelotti wameliona hili. Tayari wameanza kuota kitete kwamba CITY inaweza kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kuwanasa Balotteli kwa kitita cha 22.5m Pounds na James Milner kwa 24m Pounds.
Sasa wakuu inabaki uwezo wa Roberto Mancini kutuonyesha uwezo wake wa kuwaunganisha mastaa hawa ili CITY icheze ki timu zaidi ya tulivyoona mwaka jana na kuwa timu bora duniani. Kuna baadhi ya wadau wa soka bado wanahoji uwezo wa huyu kocha. tusubiri tuone.
Kwa kuwakumbusha tu mpaka sasa mmiliki wa Club hii - Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan ameshatumia jumla ya Pound 325m tangu ainunue CITY. Ameshasema wazi wazi kwamba mafaranga kwake si tatizo.
Fargie anasema kuwepo na Limit ya transfer fee spending na mishahara vinginevyo Club zingine zitaumia sana na soko kipindi cha usajiri.
Carlo Ancelotti warns Manchester City are title challengers | The Sun |Sport|Football
Alex Ferguson blasts Manchester City’s “kamikaze spending” | The Sun |Sport|Football
Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan mpira anaupenda hobi yake na hayupo sana kibiashara kama roman abramovich.
Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan mpira anaupenda hobi yake na hayupo sana kibiashara kama roman abramovich.
khekhekheeehh eehh...
Full time;
Manchester 'ze Mercenaries/Galaticos' City 0 - 1 Sunderland.
reference?
Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan mpira anaupenda hobi yake na hayupo sana kibiashara kama roman abramovich.
reference?
Watu wanaamka na pombe na kuja weka upupu JF!
Humjui huyo kilaza! Alisema Totenham haifungwa kwa miaka 8.
ukikosea kidogo tu watu wameweka pointi na ndio inakuwa kila siku kujitetea kwao,google stars vs algeria 1995 uwanja wa taifa stars alishinda 2-1 kugombea kwenda south africa,ili unipinga basi,kazi kweli kweliThat guy is a piece of dumbass!! He always tries too hard to impress with his off-topic responses, only to make a fool of himself.
Humjui huyo kilaza! Alisema Totenham haifungwa kwa miaka 8.
unaona mwenyewe,anakosa kombe ila mvumilivu hana presha amuingilii meneja kazi yake licha ya gharama zote alizotumia kununua wachezaji eg santa cruz,robinho,adebayor,tevez,kolo toure nk,Abramovich msimu wake wa kwanza tu kakosa kombe kamtimua ranieri,kakosa champions ligi anamuingilia mourinho ktk kazi yake,au na wewe mamluki nini wa chelsea nini lolreference?
kaka mimi soka lipo damuni,nimeanza kufutilia toka enzi hizo tvz tu ndio inatamba,data nyingi nakupa kwako kiluweluwe yani ziro,ila ilingishi mimi sijui,sijasoma inglishi kozi helimu yangu dalasa la piri hivyo tuongee lugha ya taifa,sikuelewi unamaanisha nini kwa ilingishi,au unaonyesha na wewe utaalamu wako nini,kazi kwelikweliThat guy is a piece of dumbass!! He always tries too hard to impress with his off-topic responses, only to make a fool of himself.