hapo chacha anamuumiza nduguye..so two city player already injured.
kumbe yanga-mbiwa ni mfaransa nilidhani anatokea rwanda/burundi
naona anaingiaAlam Pedwe huwa namshangaa sana. Kwa nini huwa anapenda kumwanzisha Hatim BenAfra bench? BenAfra ni mchezaji wa kiwango cha juu kuliko wachezaji wote pale st james.
Nini maoni yako mkuu?
hapo chacha anamuumiza nduguye..
amemuumiza mwenzake kweli lakini sidhani kama hawa wafaransa wana utaifa kama waingereza wengi wao wana nchi zao nyingine za asili
Inaoenaka magpies wana waingereza wachache kwenye timu yao kwani taylor kuanza baada ya coloccin kutokuwepo imekuwa bonge la story bbc na sky
kwenye hii gemu yanga mbiwa na cabaye walipaswa kutolewa na red tu..