The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Inaoenaka magpies wana waingereza wachache kwenye timu yao kwani taylor kuanza baada ya coloccin kutokuwepo imekuwa bonge la story bbc na sky
 
Inaoenaka magpies wana waingereza wachache kwenye timu yao kwani taylor kuanza baada ya coloccin kutokuwepo imekuwa bonge la story bbc na sky

mkuu pale wamejaa wafaransa. Cabaye,sissoko,Remy, Goufran, yanga mbiwa, ben afra,na wengine kama wa4 hivi nimewasahu.

Ukweli ni kuwa ufaransa kuna soko la wachezaji wa bei poa, lakini wanaviwango vya juu
 
2-0 game over, but city have shown a lot of weaknesses today. They struggled against 4-5-1 formation of magpies
 
kwenye hii gemu yanga mbiwa na cabaye walipaswa kutolewa na red tu..
 
Back
Top Bottom