The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tarehe 3 mwezi Wa pili inakaribia. Mmezoea kila timu iliyofika hapo mnainyonga!

Sasa Jose Mourinho yuko njiani anakuja! Kaeni mkao Wa kula! Mtagongwa vibaya sn ndani ya uwanja wenu.
 
Mkuu huyo Toure hatoonekana kabisa uwanjani! Lazima apotee!

Jose atapanga mkakati huo Yani mtabaki kushangaa tu!
 
Haha wacha weeee ndo mnavoota hivo...


Mwanangu sio ndoto Hizi Yani hii ndio Hali halisi!
Mlimnyonga Man Utd
Na Spurs
Na arsenal
Na Liverpool

Sasa kwa Chelsea mmechemka! Yani hiyo msahau! Lazima tuwapige!
 
Ntuzu
Sifikiri kwa timu ya Man city kuweza kuizuia
Chelsea wana mid wazuri lakini nyuma ni kubovu sana mbele ya Man city utakuja niambia
Mwanangu sio ndoto Hizi Yani hii ndio Hali halisi!
Mlimnyonga Man Utd
Na Spurs
Na arsenal
Na Liverpool

Sasa kwa Chelsea mmechemka! Yani hiyo msahau! Lazima tuwapige!
 
Ntuzu
Sifikiri kwa timu ya Man city kuweza kuizuia
Chelsea wana mid wazuri lakini nyuma ni kubovu sana mbele ya Man city utakuja niambia

Mkuu nafikiri unasahau kanuni ya kujenga timu! Na pia unaisahau Philosophy ya Jose Mourinho!

Timu siku zote hujengwa kuanzia golini na Beki na viungo then strikers.

Golini tuko na Cech au huyo hafai?

Beki tuko na Terry, Cahill, Luiz, Cole, Ivanovic na Cecer Azz. Sasa nani mbovu hapo wandugu Masanja ??

Na usisahau ubora Wa Beki huonekana Zaidi Km Mid zikiwa vizuri! Na Wewe mwenyewe unakubari kua tuko vizuri ktk mid! Sasa ubovu Wa Beki uko wapi hapo? Chelsea kwa sasaivi iko vizuri sehemu zote asilimia Mia! Km unabisha subiri uone hiyo Tarehe 3 sio mbali Alafu uje hapa jukwaani ata kwenye Uzi wetu Wa Chelsea unitafute!

Naomba uikumbuke ile game ya Arsenal na Chelsea uone mkakati Wa Jose jinsi unavyofanya kazi!

Yani hiyo city na Pellegrine Lazima wafundishwe kabumbu!

Wandugu Masanja upoooooooooo!?
 
Last edited by a moderator:
Ninaweza kukataa maelezo yako ingawa nakubali kuhusu philosophy ya Jose
Man city wana mid wazuri kama Chelsea na zaidi Toure
Jose plan yake kubwa ni counter attack kwa timu kama City, tusubiri siku ya game tuone
 
Ninaweza kukataa maelezo yako ingawa nakubali kuhusu philosophy ya Jose
Man city wana mid wazuri kama Chelsea na zaidi Toure
Jose plan yake kubwa ni counter attack kwa timu kama City, tusubiri siku ya game tuone

Mkuu Km unafatilia game za Chelsea basi utaona kua Mourinho siku Hizi hatumii sn Counter attack ingawa zikitokea wachezaji Lazima wakuumize! Chelsea inacheza mpira na kushambulia kwa njia yeyote! Na kikubwa Zaidi walichofanyia kz. Yani ata wakipata nafasi chache za kushambulia Lazima wazitumie vema kupata magoli! Wameongeza umakini ktk kufunga magoli na mashuti ktk lango! Hichi ndio kitu kizuri.

Na pia kwa upande Wa viungo Yani mpaka najisikia raha! Kwasababu naamini siku hiyo Toure na Fenandinho hawatoonekana kabisa uwanjani! Alafu Silva na Nasri ndio kabisa!

Wandugu Masanja....! Kaa uisibiri hiyo game uone kazi! Yani Lazima City apigwe! Na mkipata sn droo!
 
marudio chelski mnakufa tu tena nyingi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…