Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo Toure hatoonekana kabisa uwanjani! Lazima apotee!
Jose atapanga mkakati huo Yani mtabaki kushangaa tu!
Haha wacha weeee ndo mnavoota hivo...
Mwanangu sio ndoto Hizi Yani hii ndio Hali halisi!
Mlimnyonga Man Utd
Na Spurs
Na arsenal
Na Liverpool
Sasa kwa Chelsea mmechemka! Yani hiyo msahau! Lazima tuwapige!
Ntuzu
Sifikiri kwa timu ya Man city kuweza kuizuia
Chelsea wana mid wazuri lakini nyuma ni kubovu sana mbele ya Man city utakuja niambia
Ninaweza kukataa maelezo yako ingawa nakubali kuhusu philosophy ya Jose
Man city wana mid wazuri kama Chelsea na zaidi Toure
Jose plan yake kubwa ni counter attack kwa timu kama City, tusubiri siku ya game tuone
marudio chelski mnakufa tu tena nyingi sana..Mkuu Km unafatilia game za Chelsea basi utaona kua Mourinho siku Hizi hatumii sn Counter attack ingawa zikitokea wachezaji Lazima wakuumize! Chelsea inacheza mpira na kushambulia kwa njia yeyote! Na kikubwa Zaidi walichofanyia kz. Yani ata wakipata nafasi chache za kushambulia Lazima wazitumie vema kupata magoli! Wameongeza umakini ktk kufunga magoli na mashuti ktk lango! Hichi ndio kitu kizuri.
Na pia kwa upande Wa viungo Yani mpaka najisikia raha! Kwasababu naamini siku hiyo Toure na Fenandinho hawatoonekana kabisa uwanjani! Alafu Silva na Nasri ndio kabisa!
Wandugu Masanja....! Kaa uisibiri hiyo game uone kazi! Yani Lazima City apigwe! Na mkipata sn droo!
marudio chelski mnakufa tu tena nyingi sana..
Mtakimbia jukwaa hili! Tarehe 3 sio mbali!
kama nilikaa zidi ya bay ije nyie chelski..