Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
yap naona jamaa wanasikilizia sana huku nyuma ngoja tuone kipindi kijacho..City tumecheza defensive game
Labda kipindi cha pili kutakuwa na mabadiliko
tuwili tu ndio wameshinda na red card wamempatia demichelis
poa pamoja sana..