Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Haya leo mwiko umevunjwa na Cahill.Kumbe Man City ndio timu pekee mpaka sasa ambayo haijafunga BAO LA KICHWA tangu ligi msimu huu ianze . . .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya leo mwiko umevunjwa na Cahill.Kumbe Man City ndio timu pekee mpaka sasa ambayo haijafunga BAO LA KICHWA tangu ligi msimu huu ianze . . .
Disaster for City , lol
2-0 down now.
Man City wanadhani vikombe vinanunuliwa kama vikombe vya supermarket..Pauni 350 milioni bado sijaona faida yake maana naona it is more of defensive team.ha ha ha kumbe huko mkuu,hawa man city hawa kiboko lool.
Man City wanadhani vikombe vinanunuliwa kama vikombe vya supermarket..Pauni 350 milioni bado sijaona faida yake maana naona it is more of defensive team.
They need 2 seasons kucop na situation and understand each other.................They have got great squad though.......The qn is how to get a great f'ball out of great squad with great players..........
Mancini anataka zaidi mtu wa kukaa midfield kuzuia..catenacchio style. Ndo maana Johnson huwa anaishiaga kupewa sub ya 20 minutes za mwisho.Makocha wengine wanajitakia wenyewe,kuna sababu gani ya kumueka bench adam johnson?
1-2, zinarudi zote hizo
Yule dogo Anichebe ndio aliyeharibu ladha ya mechi.Labda.......Jamaa wanadefend vizuri lakini....na sub aliyofanya Moyes inamaanisha anahamisha sehemu ya kuchezea kaka.......