Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupeni Raha City leo angalau tujidai
ft barca 2 - 1 city
na refa wao damn..
mmefanya kitu gani hasa?
kawaida tu hata madrid walianza kama city tutabeba tu..Poleni sana watani. Hii ligi ina wenyewe
mmefanya kitu gani hasa?
ft barca 2 - 1 city
na refa wao damn..
Maneno ya mkosaji
Refa kawanyima Barcelona goal la wazi kabisa la Neymar, na a clear penalty ambayo Lescott alimfanyia madhambi Messi
Hapo refa anakuaje wao?
Tukiweka ushabiki pembeni, refa wa leo anaharibu mchezo kwa kuelemea upande mmoja
Kweli kabisa mkuu mimi shabiki wa man utd ila leo refa kawamaliza watani zetu walikuwa wamewamudu vizuri tu barca,tazama bao la Messi ni offside kabisa tazama penalti kawanyima,Angalia red card zote utata tu
kawaida tu hata madrid walianza kama city tutabeba tu..
I admire your optimism. Bado mna safari ndefu sana